Salam za Mama Diamond Platnumz kwa Wema Sepetu
September 28, 2016 ni siku ambayo
anazaliwa mrembo na mwigizaji wa Filamu, Wema Sepetu ambapo pamoja na
watu wengi kumtakia kila la kheri yupo pia Mama mzazi wa Diamond
Platnumz ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama
yake Diamond akaisindikizia na maneno haya .. >>>Happy birthday.. Mamy akee @wemasepetu mungu akuongezee umri na akujali kheri akufungulie Mlango wa baraka kwa kila uliombalo.Amin


Comments
Post a Comment