U HEARD: Video ya Larua yamtibua mpenzi wa zamani wa Malaika


September 14 2016 kupitia U Heard ya Soudy Brown, nakukutanisha na hii ya msanii wa Bongo Flava anayefanya vizuri na wimbo wake “LaruaMalaika ambapo ameingia kwenye mzozo na aliyekua mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Eddy, baada ya muongozaji wa Video Hanscana kuiachia Video ya Larua wakati makubaliano ilikua isitoke. kama hukupata nafasi ya kuisikiliza usijali, mhilu.blogspot.com imekurekodia. 
>>>’Sasa na Hanscana kama mtoto wa kiume nilimwambia siku nyingi kwamba ishu hii iko polisi, naomba hiyo video isitoke kwasababu sio mimi niliyekwenda polisi. Sasa yeye kama mtoto wa kiume sijui alikua anawashwa kitu gani?’
     
            
ULIKOSA HII YA TIMU WEMA WALIVYOMSUPRISE WEMA SEPETU TANGA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

                                                         

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016