U HEARD: Nuh Mziwanda kaelezea sababu za kuachana na Meneja Petit Man
Ni September 22, 2016 kwenye U HEARD ya Clouds FM, inamuhusu Nuhu Mziwanda ambaye amemlalamikia aliyekuwa Meneja wake, Petit Man, Nuhu Mziwanda amedai
kuwa amekuwa akichukua pesa kwa kutumia jina la Mziwanda halafu
hazifikishi kwake. Soudy Brown amepiga nao story leo kwenye U Heard huku
Nuh akieleza sababu za kuamua kuachana na usimamizi wa Petiman.
>>>kama
meneja ambaye anafanya kazi na wewe anashindwa kujua wewe ni mtu gani
kwenye jamii huyo ni tatizo, mimi natafuta pesa kwa jina langu sasa yeye
asitumie ile kusema mimi ni meneja wa nuh kupata pesa halafu
hazifikishi kwangu hiyo ndo sababu mimi nimemkacha:- Nuh Mziwanda
Comments
Post a Comment