ACHA KUWA MTUMWA WA PENZI, KUWA MALKIA WA NGUVU !


Leo kwenye tovuti yenu pendwa ya www.mautunduyabongo.blogspot.com, inakuletea mada adimu ya kujua kwanini wasichana wa kitanzania walio wengi wanaendelesha maisha yao kwa kuhongwa na mabwana zao au kwa lugha ya wengi hupenda kusema kwa mabuzi (Sponser).

Ni vyema kuliangalia hili kwani ni jamabo ambalo linawatesa sana wadada wa leo nchini Tanzania hasa Dar es Salaam, kwani wamekuwa wanajitoa hata miili yao ili tu kuweza kuwezesha katika maisha yao ya kila siku.jokate

Sasa kupitia tovuti hii, tunatoka na kauli hii kwamba utajiri sio kama magonjwa ya kuambukizwa, unaweza ukahisi kauli hii imemaanisha nini lakini ni kweli kwamba sio kwa kutegemea mabuzi au mabwana ndio kutusua kimaisha, Laah hashah! bali ni kutengeneza mazingira ambayo yatakupa chanzo cha kipato na kuishi bila kuutumikisha mwili wako ili uweze kupata mahitaji yako ya kila siku.

Tumekuwa tumeshuhudiwa kwenye mitaa inayotuzunguka ni jinsi gani bado wasichana wamelala kwenye wimbi la kuwa na upeo mdogo na kuendekeza kuhongwa ndo waendeshe maisha yao kwa kuwaendekeza hao mafataki au mabuzi, lakini hali hii imewasababisha kuwa watumwa wa mapenzi kwa tegemezi.wema

Hebu tazama ujumbe huu wa mwanadada Hudda Monroe kwa maarufu mwita Huddahthebosschick, ni mwanadada ambaye amekubali kwamba alikuwa anaendesha maisha yake kupitia mabwana hasa wenye fedha na majina lakini kaamua kuachana na hayo na kuwa Malkia wa Nguvu kama Wema Sepetu, Zarina Hassan, Jokate Mwegelo, Flaviana Matata na wengine wengi.huddah

“Honestly , ever since I learnt to fish I’ve realized men with money only impress broke, lack of ambition b**ches . I won’t lie tho , I’m not wealthy and I too used to be impressed by the rich men of this world but I HATE hand outs, I love SLAVING for my sh**. I realized when someone gives you money, they sort of disrespect you, which is what gave me the thirst to want to know how to fish ………… So when I learnt to fish, the wealthy still impress me but I chill with them to only learn more fishing tactics and that makes them put some RESPEK on my name …………..Remember WEALTH is also NOT sexually transmitted! even if you get married to a wealthy man the disrespect will still remain, he can have 50 wives and you can’t do sh*t about it, he can leave you with nothing after years of marriage and you can’t do sh*t . NEVER let all a man brings to the table be all you have to eat. Ladies you have to wake up and get your own sh*t . Or stay on the hand outs and stay disrespected! 👊 . Your life , your choice.”

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016