NENO LA BUSHOKE KUHUSU USHINDANI WA ALIKIBA NA DIAMOND



Diamond na Alikiba ni wasanii ambao wamekuwa wanazungumziwa sana nchini Tanzania kutokana na ushindani uliopo baina yao, kila mmoja amekuwa akifanya kazi nzuri kwa staili yake ili kuwavutia mashabiki wake.ALIKIBA NA DIAMOND SHOW

Licha ya mashabiki kuwazungumzia hata watu mashuhuri pia wamekuwa wakifanya hivyo akiwemo msanii nguli ambaye hivi sasa anatamba na ngoma yake ya mpita njia Ruta Bushoke ameeleza jinsi anavyoguswa na ushindani wao.BUSHOKE

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016