Baada ya Kusimangwa Mtandaoni Kuwa Anafanya Umalaya Mrembo Tunda Apima Ukimwi na Kuonesha Majibu Hadharani
Mrembo wa Nguvu na Mcheza Video Tunda amechukua maamuzi magumu ya kwenda
kupima ngoma na kutundika majibu yake mtandaoni baada ya baadhi ya
wadau hasa kutoka Instagram kumsema kuwa anafanya umalaya kutokana na
muda wote kupiga picha akiwa kwenye mahoteli makubwa akila bata za nguvu
na hana kazi maalum ya kufanya mjini hapa.....
Nimekuwekea majibu yake hapa chini:
Comments
Post a Comment