U HEARD: Chanzo cha bifu ya Producer Emma the Boy na Linex
Story
ya kwenye U Heard ya leo Sept 21, 2016 inahusu beef jipya kati ya
producer Emma The Boy na staa Linex wa hit single iitwayo ‘Kwa Hela’.
Soudy
Brown aliwapigia simu wawili hao na kuzungumza nao kuhusu beef lao kati
ya Emma The Boy na Linex...
Comments
Post a Comment