INSTAGRAM: Maneno 205 aliyoyandika Ray C kwa Diamond Platnumz
Mrembo kutoka bongoflevani Ray C leo September 27 2016 amezichukua headlines kwenye ukurasa wake wa Instagram baada ya kumuandikia ujumbe wa salamu wenye maneno 205 hitmaker wa mdundo wa ‘Salome’ Diamond Platnumz, Mtu wangu ni kazi yangu kukuletea stori zote ambazo zinachukua headline kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Haya ndio maneno kwa Ray C kwa Diamond Platnumz..
>>‘Seriously
Namaste lil bhaia!ngoja niwe mkweli wa nafsi yangu nipate nafuu
dude!that Salome of Yours is damn hot!The Powerful couple in this
industry kwa sasa bila ubishi wangu ni hawa wachapakazi wawili,bidii
katika kila walifanyalo,go getters,wanavyopeana nguvu katika kazi
zao,team work team work team makes everything go the it should be and
that makes me fall in love with these two hard working souls!everysecond
of the day,lil bro u really smart dude,i respect you for that roho ya
upendo ulionayo ndio inayozaa matunda bora ya vipaji lukuki vinavyotamba
sasa angalia Raymond!Harmonize!!!! Angalia upendo wako unavyozaa
matunda bora,Mungu sio kipofu anaona lil bro!Baraka zake kwako
hazitaisha dogo you deserve every penny lil bhaia! am a fan all the way
keep chasing tht paper,i admire your management team,how serious you
guys are in ths industry of ours..I don’t call u Simba no more dude! I
call you THE GURU OF THE INDUSTRY!haaaaaaaaaa nilitaka kusahau mama weee
baiiiiiiiii the wayyyyyyyyyyyyy kale kapicha kangu kalikobandikwa
wasafi studios weeee eeeeee weeeee nimejishauaje sasa weweeeee mpaka
mama angu nimemringishiaaaaaaaa kaka angu nimemringishiaaaaa mjomba
nimemringishiaaaa yani acha weweeee nimefurahi saaaaana sana umenipa
moyo mdogo wng ASANTE SAAAAANA ,Thats very kind of you lil bro!STAY
BLESSED LIL BHAIA! @diamondplatnumzAnd I am Your Shabikj Makini without
any reasonable doubt…..’
Comments
Post a Comment