SILAHA ZA KUWAMALIZA WANAUME KABLA NA WAKATI WA TENDO



Hakuna raha kwenye mapenzi kama kuwa na mwanaume au mwanamke unaempenda na kama ilivyokawaida ya mapenzi tendo la ndoa ni kachumbari kwenye mahusiano mengi ya sasa lakini wengi wetu hatujui jinsi ya kuwasisimua  wapenzi wetu au wenza wetu tukiwa faragha, hizi ni sehemu kuu mbili ambazo zitamfanya mwanaume wako apate msisimko.

Kifua

Kifua ni sehemu aliyoumbiwa kila mwanadamu wa jinsia yoyote na sehemu hii ina mfumo wa kuamsha hisia kwenye mapenzi na kwa upande wa wanaume eneo zima la kifua huwa lina msisimko zaidi kama likitumiwa ipasavyo, kikubwa ni kujua jinsi ya kutumia viganja vyako.Black-couple-in-bed-II

Uume

Uume ni  sehemu mojawapo inayoleta msisimko wa raha kwenye mapenzi pindi unapotaka kumuandaa mpenzi wako kwa ajili ya tendo, jitahidi kutumia muda mwingi kuonyesha maufundi yako katika maandalizi ya awali kabla ya tendo.BLACK COUPLE (3)

Kwa kawaida hakuna jipya kwenye dunia hii, yote ni marudio lakini hayo marudio ukiyafanyia maboresho na ubunifu unaweza ukawa mgunduzi wa kipekee, mapenzi ni utundu na ubunifu ni vyema ukawa mnyumbulifu na mtundu kitandani ili usiache mwanya wa kuibiwa kilicho chako.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016