HEKAHEKA: Kaka, dada wapigana kisa kelele za mapenzi za dada akiwa na mumewe
Kupitia
Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib akiwa maeneo ya Kiwalani jijini Dar
es salaam, amekutana na stori ya dada na kaka waliopigana kisa kikiwa ni
Kaka kudai dada yake akiwa na mumewe chumbani wamekuwa wakitoa kelele
za mapenzi.
Ndugu hao
wawili wanaishi nyumba moja waliyoachiwa na baba yao mzazi ambaye ni
marehemu. Familia hiyo imeingia kwenye ugomvi baada ya dada kuolewa na
kuendelea kuishi kwenye nyumba hiyo na mumewe.
>>>’Mfano wewe mtoto wako kaolewa na mwanaume inabidi akae pale au aende katika mji wake…?’:- kaka
>>Nimekaa hapa tangu
baba yangu akiwa hai, huyu mimi namfunga, mi nipige kelele kwani sina
akili? Baba angu mzazi ndiye alitakiwa kusema kama alikua
anakereka!!! na hivi naenda zangu polisi.”;-Dada
Comments
Post a Comment