Jacqueline Mengi katuletea biashara ya Furnitures… ubunifu wake mwanzo mwisho
Ujazo wa jina lake Jacqueline Ntuyabaliwe ulianza kuongezeka toka aliposhinda Miss Tanzania mwaka 2000 na sasa anatumia Jacqueline N. Mengi baada ya kuolewa na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi.
Habari nzuri aliyotuletea Jacqueline September 15, 2016 ni hii ya duka lake jipya lililopo Seacliff Masaki Dar es salaam ambalo
humo ndani zinauzwa Furniture mbalimbali za kuvutia yani utakutana na
vitanda, viti, makochi na vingine kwenye uwanja huo.
Amorette
ndio duka lenyewe na ni kampuni yake aliyoianzisha miaka michache
inayodili na kufanya Interior designing lakini sasa kaleta brand ya
Molocaho ambayo inadili na Furniture mbalimbali za ubunifu wake
Jacqueline mwenyewe.
Comments
Post a Comment