Hali ni Tete Madale....Dongo la Diamond aliloandika kuhusu wale
wanaojisifu kuwa wanahela lakini watoto wao wanaishi kwenye nyumba ya
kupanga limemfikia mwenyewe ambae ni mume wa dhamani wa Zari aitwaje
Ivan , Nimepitia kwenye mitandao nimekuta mazungumzo yaliyovuja ambayo
yanasemekana ni kati ya Zari na Ex Wake huyo baada ya Ujumbe wa Diamond
Kuwafikia mpaka watoto wao ambao walizaa pamoja.
Nimekuwekea Hapa hayo mazungumzo ambayo yasemekana yamevuja kutoka kwa mmoja wao:
Comments
Post a Comment