SABABU 10 ZA KWA NINI WANAUME NI VIUMBE WENYE FURAHA ZAIDI
1. Majina yao ya ubini hubaki vivyo hivyo siku zote za maisha yao. 2. Maongezi yao kwenye simu huhitaji sekunde 30 tu kulizungumza jambo lililowafanya kupiga simu. 3. Safari yao ya siku 5 huwahitaji kusafiri na suruali moja tu ya jinsi. 4. Endapo rafiki yao atasahau kuwaalika katika tafrija fulani, bado wataendelea kuwa marafiki. 5. Mtindo wao mmoja wa nywele hudumu kichwani kwa miaka mingi na pengine maisha yao yote na bado wakitokea mbele za watu huwa na amani kuwa wamependeza. 6. Hata kama wanahitaji kuwafanyia shopping ndugu 25 wao hutumia dakika 25 tu na shopping ikamalizika kwa mafanikio. 7. Huwa hawakasiriki wala kujisikia vibaya wakienda kwenye tafrija na kukutana na mwanaume mwingine aliyevaa shati kama yeye, zaidi hapo urafiki huanza. 8. Wakisikia jambo hulimezea mate, hawahitaji kuwasimulia watu wengi zaidi. 9. Wakiwa wanataka kwenda kwenye mtoko mahali hawahitaji kutumia saa nzima kabatini ili kuchagua nguo ya kuvaa. 10. Wakihitaji kuwa ...