Huyu Hapa Ndio Msanii Mpya wa Diamond Kwenye Lebo ya WCB.. Anaitwa Raymond Sikiliza Wimbo Wake Uliotambulishwa leo
Kipaji cha Raymond kilianza kuonekana mwaka 2011 baada ya kushiriki kwenye mashindano ya FreeStyle mkoa wa Mbeya na kuwa mshindi wa kwanza,alipokuja Dar akaibuka pia mshindi ndipo TipTop Connection ilipomchukua na kuwa chini yake,Raymond ameshaonekana kwenye majukwaa mengi hasa kwenye show za Madee,Kutokana na ukaribu wa Lebo ya TipTop Connection na WCB,Menejimenti zimekaa chini na kukubaliana kumtoa kupitia lebo ya WCB.
Sasa leo ndio katambulishwa rasmi ktka vituo mbalimbali vya redio na hapa anakukaribisha kuisikiliza hii single yake mpya iitwayo Kwetu.
Comments
Post a Comment