Picha za Mwigizaji Rich Richie Alivyotua Airport Baada ya Kushinda Tuzo ya Filamu Nchini Nigeria


Usiku wa March 5 tasnia ya Bongo Movie iliingia kwenye headlines Lagos Nigeria, baada ya wasanii wawili kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single Mtambalike maarufu kama Rich

Richie usiku wa March 6 kuamkia March 7 aliwasili Airport Dar na tuzo yake ya filamu bora yaKiswahili aliyoshinda Nigeria.Aliyevaa kofia ni Prince na aliyeshika maua ni Darleen wote watoto wa Single Mtambalike.
Follow instagram @mautunduyabongo

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016