BREAKING NEWS!!! Basi la LEINA,toka KAHAMA, limepata ajali hapa eneo la KIMARA BUCHA.
Limeacha njia na kudondoka,dereva abanwa mbavu,abiria wapasuka Vichwa.
Ni hatari kabisa.mpaka dakika hii.kuna abiria waliokuwa wanasubiri usafiri kituoni Bucha..wamedondokewa na basi hiyo. Vichwa. Vimepasuka vya watu hapa.
Naomba yeyote mwenye ndugu aliyepanda Basi hii naomba afatilie ndugu yako,
Comments
Post a Comment