Peter wa P Square abadilisha jina la kisanii, Jina jipya liko hapa.
Msanii wa kundi la P-Square ‘Peters Okoye’ aliyetoa wimbo wake wa “Look Into My Eyes” amebadlisha jina kutoka kwenye Peter Okoye na kuanza kujiita ‘Mr. P’ kama ishara ya kuanza kufanya kazi kama solo artist.
Peter ametambulisha jina hili kwneye club moja huko Abuja alipofanya show bila pacha wake Paul Okoye.
Pia Peter anashow nyingine mnamo April 7, 2016 huko Dubai.
Pia Peter anashow nyingine mnamo April 7, 2016 huko Dubai.
Comments
Post a Comment