Breaking news; Ajali imetokea Bagamoyo madereva wote wawili wa hizo gari wamefariki hapo hapo na Afisa Mipango
Msafara wa Wabunge wa Mkoa wa Pwani na RAS umepata ajali Bagamoyo - Kerege, magari mawili yamegongwa na Lori. Gari na Mkurugenzi wa Bagamoyo na Gari la TASAF Bagamoyo madereva wote wawili wa hizo gari wamefariki hapo hapo na Afisa Mipango nae amefariki. Majeruhi wamekimbizwa Muhimbili hali mbaya
Comments
Post a Comment