Msanii wa Sauti Sol ‘Delvin’ ahusishwa kimapenzi na mpwa wa rais Uhuru Kenyatta.


Msanii wa Sauti Sol ‘Delvin’ ameripotiwa kuwa na mahusiano na mpwa wa rais Uhuru Kenyatta anayefahamika kama Kavi Pratt.Delvin hakuwa na aibu kuweka mahusiano yao wazi kiasi cha kuweka picha wakiwa pamoja, na alipoulizwa alijibu

“You can’t deny the power of attraction and a kiss does not necessarily mean that there is more. It is good to allow people to show affection.” akimaanisha

“Huwezi kataa nguvu ya mvuto wa mtu na busu halina maana kuna kitu zaidi, ni vizuri kuruhusu watu kuonyesha wanakukubli”

Kavi alishuka kupata swali hio na kuomba muda zaidi kabla hajajibu.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016