Mkubwa Fella Akanusha Wasanii Wake Kujihusisha na Biashara ya Madawa ya Kulevya


Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family na Yamoto Band, Mkubwa Fella amekanusha madai yaAkiongeza na Sporah Show ya Clouds TV Jumamosi hii, Fella aliulizwa kwamba kuna taarifa zina sambaa kuwa wasanii wake pamoja na yeye mwenyewe anajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.“Hakuna madawa ya kulevya wala nini,” alisema Fella.Aliongeza, “Mimi mwenyewe nakituo changu cha kuwasaidia walio athirika na madawa ya kulevya. Teja wowote akitaka kuja kupona ni bure, sasa kama mimi ni muuzaji tena kwanini niwatibu, si napoteza wateja

Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu