Nay wa Mitego kafunguka kuhusu mrembo aliyeshiriki kwenye video ya ‘Shika adabu yako’ pesa aliyomlipa?…(+Audio)
Kwenye U Heard ya Soudy Brown March 10 2016 amefanya Mahojiano na msanii kutoka kiwanda cha Bongofleva staa anayemiliki hitsong ya ‘Shika adabu yako’‘Nay wa Mitego,’ baada ya Soudy Brown kusikia taarifa juu ya malipo yaliyofanyika kwa Video Queen kwenye wimbo wa ‘shika Adabu yako‘
Soudy Brown alimwambia Nay wa Mitego kuwa amesikia taarifa kuwa amemlipaVideo Queen wake elfu 20 kwaajili ya kushoot video yake, na haya ndio yalikuwa majibu ya Nay wa Mitego.
‘Inawezekana labda hiyo ndio bei yake alafu mimi sikuwahi kumuita Gigy kwenye video yangu kuna watu wanamuitaga, alafu ukiambiwa utaje wasichana wazuri huwezi kumtaja Gigy‘>>>Nay wa Mitego
Comments
Post a Comment