Lulu Michael Naye Aitoa Kimaso Maso Tanzania....Ashinda Movie Bora Afrika Mashariki...
Please join me to Salute another Tanzanian hero Lagos Super Star Lulu Michael kwa kushinda tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki (Best Movie – East Africa) kupitia Mapenzi. Muigizaji huyo alijikuta akilia kwa furaha wakati akishukuru kushinda tuzo hiyo.at "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" ....SALUTE SISTER NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA
Comments
Post a Comment