UNAJUA KAMA VYAKULA VYA MAFUTA VINA ATHIRI USINGIZI? SOMA HAPA KUJUA


Wataalamu hao katika chuo kikuu cha lishe bora Colombia mjini New York alibainsha kuwa vyakula vya mafuta mengi na sukari huathiri kwa kiasi ubora wa usingizi katika matabaka yake ambapo mwanadamu hupumzikisha muili na ubongo.
Utafiti huo uliendeshwa kwa kutumia watu kadhaa waliojitolea ambao umri wao ulikuwa ni miaka 35 ambapo walitumia muda wa siku 5 katika maabara ya chuo kikuu hicho.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016