Ali Kiba na Gigy Money Mahaba Motomoto..Team Kiba Wapanick
Story
ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya
ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na
clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba kuongelea uhusiano wao kwa
sasa na hawezi kuongelea kwa sasa na uko insta amewarushia kijembe
mashabiki wa kiba na kuwauliza kwan kiba sio mwanaume baada ya team kiba
kupanick na mapovu kuwatoka.
Story
hii inakuja miezi kadha baada ya Gigy kumlalamikia Jokate kumuibia Ali
kiba na ikumbukwe ivi sasa Jokate hawapo kwny terms nzuri na King Kiba
Comments
Post a Comment