JAMAA AFUNGUKA KUHUSU NYIMBO YA HARMONIZE FT DIAMOND

Jamaa anawaza nini? Jamaa aamua kuwafungukia watu kadhaa na kuwaambia eti nyimbo ya Harmonize iliotoka juzi kati, yenye jina "Bado" ni MBAYA! Ila kaisifia video, kawatag watu kadhaa na kuongea hayo. Cheki zaidi katika account yake ya instagram akaunti yake @josaxjoseph umdondoshee yako.

Bila kusahau kutu follow instagram @mautunduyabongo

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016