Polisi nchini Marekani wavamia nyumba ya Davido,Sababu na alivyojitetea,viko hapa.

Polisi walifanya hivyo baad aya kuchunguza maisha ya kifahari anayoishi Davido bila kujua kipato chake kinatoka wapi kwenye eneo hilo analoishi.
Davido alitumia ukweli kwa kuwaambia yeyeni staa wa muziki kutoka Nigeria na kuwaonyesha Channel yake ya Youtube inavyotazamwa na zaidi ya watu milioni 100.
Davido alitumia ukweli kwa kuwaambia yeyeni staa wa muziki kutoka Nigeria na kuwaonyesha Channel yake ya Youtube inavyotazamwa na zaidi ya watu milioni 100.
Comments
Post a Comment