Diamond Platnumz Marekani akiwa na Ne-yo na mwigizaji wa series ya EMPIRE aitwae Yazz
Platnumz alisema March 2016 anakwenda Marekani na kwamba atafanya kazi kubwa na nyingi ikiwemo video ya kolabo yake na staa wa muziki duniani Ne-yo ambaye makazi yake ni Marekani……. so inaonekana Diamond anatimiza alichokisema.
Moja ya vitu alivyoongea kwenye hiyoExclusive Interview ni pamoja pia na kukutana na Producer maarufu Swizz Beatz ambaye mikono yake imefanya kazi na mastaa kibao akiwemo Jay Z ambapo D alisema atarekodi pia na alikua anaangalia uwezekano wa kufanya kumshirikisha Alicia Keys pia ambaye ni mke wa Swizz Beatz.
Sasa kwenye hii post nimekuwekea picha tatu alizopiga na mastaa tofauti wa Marekani akiwemo mwigizaji Yazz kutoka kwenye series ya EMPIRE pamoja na mwimbaji Ne-yo ambaye walirekodi wimbo pamoja Nairobi mwishoni mwa mwaka jana.
Comments
Post a Comment