Linex Ataja Sababu ya Wasanii Kutopenda Kuwaweka Wazi Wapenzi wao Hadharani...Ipi Hiyo?
Msanii wa Bongo Fleva Linex amefunguka na kusema kuwa kuna sababu nyingi ambazo zinawafanya wasanii wengi washindwe kuwatambulisha wapenzi kwenye hadhara.Linex ameweka wazi kuwa msanii anaangaliwa sana na jamii kitu ambacho kinampa hofu pengine anaweza mtu ambaye ana mambo ya kipuuzi na kumuharibia taswira yake.
“wanakuwa hawajakutana na watu wanaowez kuwaamini asilimia 100,unajua kumtambulisha mtu kwenye jamii na jamii nzima inakuangalia wewe halafu mtu mwenyewe labda ana mambo ya kipuuzi sio kitu kidogo”
Alifunguka Linex na kusisitiza kuwa huwezi ukakutana na mtu ambaye yuko perfect
Comments
Post a Comment