Fumanizi mbaka kifo hapo hapo..
Mume na mke kutoka RUVUMA majina yao hayaku tambuliwa haraka chazo ni mke alimuaga mume wake anaenda kwenye mkutano wa injili MBEYA.
Mume bila kinyongo akamruhusu ila akasoma mchezo yule alipo sepa mume wake akapanda basi la nyuma akawa anamfukuzia walipo fika MBEYA stand huyo mke akaenda kyela na mshikaji akamfuata hivyo mke akawa na mpenzi mwingine kwenye hiyo guest naye akachukua chumba hapo hapo bila mke wake kujua.

Yule mke akiwa na mpenzi wake chumba kingine kumbe mume Wake kalala pale pale usiku mume halali akawagongea wakijua kuwa muhudumu jamaa kaingia na tindikali yenye mchanganyiko mzuri wa acid akawamwagia wote na yeye mwenyewe mule chumbani na wote wakafa.
Comments
Post a Comment