Watu sita MALAWI wamekamatwa na vipande vya viungo vya albino nao wachomwa moto na wananchi..
Mauaji ya watu wenye ulemavu yamezidi kukithiri Afrika. Huko malawi watu 6 wanaotuhumiwa kufanya biashara za viungo vya walemavu wa ngozi yaani albino, wameuwawa kwa kuchomwa moto huko nchini Malawi na wananchi wenye hasira kali. Wakiwa na viungo vya albino ambavyo ni miguu na mikono, watu hao walionekana kuelekea kwa wanunuzi kupiga hela ndefu bila kujua wananchi wenye macho makali kama airport scanner wameona mzigo.
Wananchi walianza kupiga kelele za kuitana na watu hao walianza kukimbia na mara kudondosha mzigo huo uliokua umewekwa kwenye rambo aka mfuko wa plastic mweusi. Wananchi walifanikiwa kuwakamata wote na kuwapa kichapo kisichoelezeka na baadae kabla polisi hawajamaliza glass za beer ili waje wachukue nyama, wananchi wakasema "Njaa yaumaaaa" kwa kiluga chao lakini, na ndipo mafuta ya taa na petroli zilipoletwa.
Wakiwa wamelowa jasho la damu watu hao, waliogeshwa kwa petroli na mafuta ya taa wakifanywa kuni ama mkaa ili msosi upikwe, wenye njaa wale. Kiberiti chhwaaaa kikawashwa kelele za maumivu kwa watu hao zikatanda zaidi katika eneo. Waliungua taratibu na ikawa somo kwa watu wengine na wezi pia.
Kama kawaida ya polisi wa kiafrika kuchelewa eneo la tukio, bila shaka nao walitaka kuharibu mapishi ya misosi, wakaja na kuchukua mishkaki na nyama fresh na kuondoka nao, viungo vya albino vilichukuliwa pia kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Mautundu ya bongo....
Comments
Post a Comment