Tazama Show Nzima ya Navy Kenzo Walivyoipeleka Kamatia Chini Mjini Dodoma..Mtwara Week End Hii Kaeni Tayari
Kamatia Chini Lights Up Tour ya kundi la muziki wa bongofleva Navy Kenzo iliangukia Dodoma weekend iliyopita ambapo Aika na Nahreel pia walipata time ya kumleta Jux kwenye stage kwa muda mfupi… hii video hapa chini itakuonyesha zaidi
Comments
Post a Comment