Pichaz: Mabusu ya Gigy Money kwa Idris Zawatoa Povu Mashabiki wa Wema Sepetu

Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu.

Picha hizo ziliibua hisia tofauti kwa mashabiki wa Wema Sepetu na kuanza kumshambulia Gigy. Haya ni maadhi ya maoni ya mashabiki hao.

Izack_da_real
Wee kilasiku wakudandia vya watu? Embu kua mbunifu tafuta wako @gigy_money

Jessy_jay_jacob
Mmmmmh unavyo ji sex sisha kwa @idrissultan kisa kashikilia icho kiuno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umeshia kupata manukato yake tu hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Aishafadhir
Jmn wa2 mnajua kukuza vtu khaaa….pic tu mnatoa maneno yote hayo jmn waachen binadamu wenzenu waish maisha yao jmn mnakera kwakwel…..idrs akpga pic na grl s bas wanamahusiano ?wema akpga pic n boys bas wanamahusiano ?2seme nyie hamna urafik na tofaut ya jnsia zenu? Huyu mdada akpost pic na mtu yeyote anatafuta kiki? Kwan yy n nan na idris n nan? Wote wanajuana na ndomana wakajselfiiiii …..Jmn hebu fanyen yenu mnachosha kila sku kuingilia mapenz yawa2 yenu huko yanawashnda

Katoto_lee
Muacheee umalayaa, we na dada yakoo Anaomba kupiga pichaa alafuuu anaanza kujiproud katokaa naeeee😭😭😭😭yaaniii gig ni chefuuuuuuuuu

vivian
Shingo alivyolinyoosha ilimlad tu atafte kiki jaman kweli gigy money gigy elf20 shikamoo ney wa mitego

Pinkylioussalvado
Ahahaha,,shikamoo ney wa mitego(dem ana xura mbaya ila ana bonge LA tak

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016