Aika asema Nahreel huwa ana mpangia cha kuvaa japo yeye hampangii


aika
Mwanadada anayeunda kundi la Navy Kenzo amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Nahreel ambaye pia ni member wa kundi hilo huwa anamsaidia inapofika swala la kuchagua nguo za kuvaa.
huwa ananisaidia kwa kweli,huwa ananipa advice kwamba hiyo haijakupendeza na vitu kama hivyo” alifunguka Aika.
Kwa upande wake Aika alipoulizwa kama huwa ana mpangia Nahreel cha kuvaa alisema,”Nahreel kila mara anakuwa na staili tofauti ni mtu ambaye anapenda kuji discover kwa hiyo inakuwa ngumu kumpangia kila anachovaa unaona amependeza

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016