Young Killer atangaza ndoa,na nani?


young-killer
Akiongea na FahamuTv Young Killer amesema kuwa, amejipanga kuhalalisha mahusiano yake na mwanadada Halima.
Kwa muda mrefu sasa Young killer na ‘girlfriend’ wake huyo wamekuwa wakitamba kwa mahaba motomoto katika mitandao ya kijamii wakionekana viwanja mbalimbali.
Young Killer aliongeza kuwa pamoja na kuwa yeye na mpenzi wake wanaonekana kuwa na umri mdogo lakini kwao hawaoni kuwa ni kikwazo kwao kuishi pamoja.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 4 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016