Ney wa Mitego Baada ya Kilichotokea Kwa Wema Sepetu Nadhani Watu Wataniamini Kuhusu Suala la Ommy Dimpozi
- Get link
- X
- Other Apps
Feb 17, 2016
Rapa mwenye staili ya tofauti kabisa ya kuflow na uandishi,huku mara
kadhaa akiflow kama ana meno 40 au mara nyingine akiflow kama anapiga
mswaki rapa kutoka Manzese ameibuka na kudai mara zote yeye uandika vitu
baada ya kufanya uchunguzi wa hali ya juu. Katika interview
tulioyofanya naye alisema vitu alivysema katika wimbo wake vyote ni vya
ukweli na ni muda pekee ndo utakaosema.
Ameadai baada ya Wema kuja na drama mpya na jamaa yake , sasa ni zamu ya mtu mwenye dimpoz nyingi duniani kuprove kama kweli jogoo lake linawika au ndo linakula tu mahindi na mchele .
Pia alisema anaandaa ngoma nyingine ambayo muda huu atakuwa anawachana wabunge na mawaziri pekee ambako mpaka jana jioni alikuwa amemaliza kuandika verse ya Nape.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
- Get link
- X
- Other Apps

Na hiyo misifa yako, ipo siku yako utajuta!
Michael Jackson alimwita boss wa Sony records "shetani", mwisho wale wale wakamkodia doctor aliyemuua kwa nusu kaputi"
Una uwezo wa kujilinda zaidi ya marehemu Michael Jackson au unataka nini?kuwa mwanasiasa ili kujua mbinu za siasa .