Pichaz 12 Msiba wa John Woka, kuanzia eneo alilopatia ajali hadi nyumbani….
Febr 14 2016 Taarifa zilizoenea kuanzia mitandaoni hadi mitaani
ilikuwa ni ishu ya John Woka kupata ajali ya kulipukiwa na gesi, Leo
asubuhi ya Feb 16 2016, mambo yakawa ni msiba wa Woka ambaye alitamba na
mdundo kama ‘Mganga’ pamoja na ile ya ‘Hii kitu’ kilichokuwa
kikiwabamba wengi ni style yake ya kuimba kama mlevi ndio ilikuwa moja
ya burudani kubwa.
Nikaamua kufunga safari na kuanza kujionea eneo la Sinza, Dar es salaam alilopata ajali na kisha hadi nyumbani kwao Ilala Bungoni kwenye msibani.

Nikaamua kufunga safari na kuanza kujionea eneo la Sinza, Dar es salaam alilopata ajali na kisha hadi nyumbani kwao Ilala Bungoni kwenye msibani.
Hili ndio eneo alilopatia ajali John Woka wakati akitengeneza gari
.
.
.
.
.
.
.
.
Mmoja wa mafundi waliokuwa na marehemu siku ya ajali
Baba mzazi wa john woka
You must be logged in to post a comment
Login
Comments
Post a Comment