InstaNEWS: Lulu na Wema Sepetu wameyaandika haya baada ya kuona ya Idris Sultan kufumaniwa.
Usiku wa February 20 2016 mwigizaji Lulu ilibidi aandike tu kwenye page yake ya Instagram kuhusu taarifa za yeye kufumaniwa na Idris Sultan ambaye siku za karibuni amekua akijulikana kama boyfriend wa Wema Sepetu.
Lulu aliandika >>> ‘Huyo ulodai kanifumania hana hata Taarifa….guys hizo drama zenu za kwenye mitandao sio kila mtu ana entertain…..tushafanya drama sana b4 IG kwahyo Kama mnatafutaga mtu kugombana au kugombanisha watu na kila mtu MLIPO BONYEZA SASAHIVI NI RED BUTTON nyie mnafanya drama za mitandao watu tumefanya za LIVE tumechoka na tumeamua kujituliza…Tuheshimiane jamani…..‘
Aliandika hayo maneno kwa kuambatanisha na post iliyokua na maneno kwa Idris ‘mbona Wema Sepetu kakufumania na Lulu na hajatangaza humu Insta?’
Kwenye hii post ya pili hapa chini Lulu aliweka picha ya mazungumzo yake na Idris Sultan kwenye Whatsapp kumuonyesha Idris taarifa zilizoandikwa mitandaoni kuhusu yeye na Lulu kufumaniwa na Wema Sepetu.
Kwenye post ya tatu Lulu ilibidi aonyeshe hadharani mazungumzo kati yake na Wema Sepetu ili kuonyesha kwamba hakuna chochote kilichotokea kati yao na kuweka caption ‘Msipende kutugombanisha watu bila sababu za msingi na kama kuna favor mnayoweza kunifanyia kwa sasa ni kuishi kama hamnioni, msiniongelee kabisa yani nitawashukuru jamani…‘
Baada ya post hiyo ya Lulu, Wema Sepetu naye alipost kwenye ukurasa wake kwa kuandika >>> ‘Leave Her out of This… Please….!!!! @elizabethmichaelofficial Lala kwa Amani baby… nimesema mimi… People dont know mwanzo wa vitu ila wanaongea as if wanayajua… mi ntaendelea kukaa kimya ila muacheni huyu mtoto please’

You must be logged in to post a comment
Login
Comments
Post a Comment