Mama Apewa Mimba na Mtoto wake wa Kumzaa..Adai Wako Katika Mapenzi Mazito na Wameamua Kuoana....


Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka uhusiano wao kwenye level nyingine ya ndoa huku tayari mama huyo akiwa na ujauzito wa miezi sita aliopewa na mwanae.

Embu tuambie, unadhani dunia inaelekea wapi?

7 comments:

  1. Dunia iko mwisho. yesu rudi uone
    Reply
  2. Chizi huyo
    Reply
  3. Kweli dunia ya mwisho kwangu mimi naona wakati we kifoo juu sioni kingine kinawastahili dunia
    Reply
  4. Kweli dunia ya mwisho kwangu mimi naona wakati we kifoo juu sioni kingine kinawastahili dunia
    Reply
  5. Wauwawe juu haina mana yakuishi dunia watu kama hawo iyo nikupita mipaka ya mwenye zimungu
    Reply
  6. kapika chakula kizuri na kitamu kikamnogea mpishi mwenyewe acha ale tu hakuna taabu mbona tamu tu
    Reply
  7. Dogo hana kinyaa kama Idriss. Wanapendelea ma bb bomba wenye michirizi ya zebra.
    Reply

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016