Kundi la Navy Kenzo Kufanya Show Kubwa Kwa Mara ya Kwanza Maisha Basement Jumapili Hii 28 Feb 2016..Usikose Kamatia Chini

Kwa Mara ya Kwanza Kundi la Navy Kenzo litafungua Kamatia Tour Maisha Basement Club Dar Jumapili hii Tarehe 28 Feb...Njoo Uone Nahreel Anavyomkamatia Baby wake Aika..Pia mtawaona wakiimba Game, Viza, Bokodo na Nyimbo zao nyingine Kali ...
Usikose Kiingilio ni 10,000 mlangoni

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016