Jibu la Idris Sultan kwa mtu aliyeuliza kuhusu Wema Sepetu kumfuta instagram.


WEMA-LOVE
Swali kubwa kwa sasa kwenye mitandao tofauti ya kijamii ni jee Wema Sepetu na Idris Sultan wameachana.
Swali hili limeibuka baada ya staa Wema Sepetu kufutilia mbali picha za Idris Kwenye kurasa yake ya Instagram
Haijulikani ni nani kamkosea mwenzake lakini inaonekana kuwa ni Wema ndiye aliyechukia zaidi kiasi cha kuamua kufuta picha zote za Idris alizowahi kuzipost kwenye akaunti yake ya Instagram.
Shabiki alivyomuuliza Idris Kuhusu picha zake kufutwa sasa, hili jibu alilopewa.
Majibu ya Idris

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 4 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016