VideoMpya ya Yamoto Band ft Zena “Mama” imeachiwa tayari, itazame hapa
Audio ya single hii ilitoka wiki kadhaa zilizopita ila leo February 22 vijana wa Yamoto Band wameachia rasmi video yao mpya ya “Mama” ambayo wamemshirikisha Zena…. ukishaitazama unaweza kuacha comment yako ili wakipita wajue mashabiki wao wanasema nini…fungua link hapo chini..
Comments
Post a Comment