JE Wanawake Mnafahamu Nguvu Za Pekee Mlizopewa Na Mungu ?

Wanawake wangejua thamani ya Nguvu waliyopewa na Mungu wasingekuwa viumbe wanyonge kama walivyo sasa..Wale wachache wanaojua nguvu iliyo ndani yao,muda wote watakuwa wanaonekana TOFAUTI/HADIMU..Wanawake wamepewa nguvu ya kubalisha kitu chochote hata vile vigumu vilivyoshindikana. 
Shida yenu mko bize kubetua nyonyo, kupiga selfie na kubenua makalio..Mtalia sana.. Adam na akili zake zote na kupendwa kote na Mungu na kupewa bustani ya Edeni lakini Eva alimshawishi na tunda akala akatucost mpaka leo tunakufa... Samson alikuwa mtu mwenye nguvu sana,na siri ilikuwa nywele,wote hawakujua siri lakini Delila alimtongoza mpaka Samson akatoa siri,Wafilisti wakamtenda.. 
Mfalme Daudi alipendwa na Mungu,akawa mfalme,akamuua Goliath lakini ujanja wote akaishia kupiga chabo mke wa mtu, akazini nae,akamuua na mmewe ili afaidi mke wa mtu..Ikamcost... Power of a Woman...Kama wewe ni Mwanamke na unachojua ni kulalamika na kulialia tatizo sio la Mungu ni la kwako ! Kila kitu kiko mikononi mwako,hata machozi yako Mungu anayasikiliza zaidi,what else do you need???Women,Please Wake up,the power has been vested in YOU ! 

Share na Marafiki.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 4 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016