Picha za Bien-Aime Baraza wa Sauti Sol na mpenzi wake Mnigeria
Mwimbaji wa Sauti Sol Bien-Aime Baraza ambaye amemuweka wazi
mpenzi wake hivi karibuni amesema sababu za kuweka mapenzi yake siri ni
tatizo lake Binafsi na sio kwamba hapendi watu wajue maisha yake ya
kimapenzi.
Bein anajulikana kwa kulikimbia swali na Nani ni mpenzi wako kwenye kila interview ila mwaka huu kamwaga yote.
Mpenzi wake ni ‘Chiki Onwukw’ ambaye ni Mnigeria anayefanya kazi kama dancer na mwalimu wa Fitness.

Comments
Post a Comment