Pichaz 19 za Waziri Mkuu alivyozungumza na viongozi wa vyama vya michezo na kukagua uwanja wa Taifa.

February 17 waziri mkuu wa Tanzania wa Serikali ya awamu ya tano Mh Kassim Majaliwa aliamua kukutana na viongozi na wadau mbalimbali wa michezo Tanzania, katika ukumbi wa mikutano uliopo ndani ya Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni kocha mwenye leseni daraja la B kutoka shirikisho la soka barani Afrika (CAF) amekutana na kuzungumza na viongozi wa michezo Tanzania, pamoja na kukagua uwanja wa Taifa.
DSC_0004
Rais mstaafu wa TFF na mjumbe wa CAF Leodger Tenga akifuatilia kwa makini mkutano
DSC_0006
Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la michezo Tanzania Kanali Iddi Kipingu
DSC_0008
Kushoto Rais wa TFF Jamal Malinzi akiwa na Katibu mkuu wake Selestine Mwesigwa
DSC_0019
Kushoto ni Filbert Bayi akijadili jambo na mdau wa michezo
DSC_0021
Kulia ni mkurugenzi wa zamani wa michezo wa TFF Sunday Kayuni na katibu mkuu wa TFF Selesine Mwesigwa wakijadili jambo
DSC_0024
Msafara wa waziri mkuu ukiwasili Taifa
DSC_0027
DSC_0028
DSC_0041
Waziri wa michezo, vijana, sanaa na burudani Nape Nnauye akimkaribisha waziri mkuu Majaliwa
DSC_0058
Waziri mkuu wa na katibu mkuu wa wizara ya habari, vijana, utamaduni wasanii na michezo akionesha ramani ya muwekezaji, baada ya kuona ramani ya Taifa
DSC_0063
DSC_0084
DSC_0104
DSC_0115
Rais wa TFF Jamal Malinzi
DSC_0119
Mwanariadha wa zamani na kiongozi wa riadha Tanzania Filbert Bayi akiwasilisha maombi yake mbele ya waziri mkuu.
DSC_0134
DSC_0139
DSC_0154
You must be logged in to post a comment Login

Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu