Chuchu Afunguka Kuhusu Weupe wa Mpenzi wake Ray


Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mpenzi wa Ray Kigosi amefunguka na kusema hapendi watu wanapokuwa wana msema mchumba wake Ray Kigosi kuwa amejichubua na kudai anaamua kupuuza ila huwa hapendezwi na suala hilo.

Chuchu Hans alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWZ jana na kudai kuwa mpenzi wake huyo kwa sasa amependeza kutokana na maisha yake kubadilika kwani zamani kwake maisha yalikuwa magumu na muda mwingi alikuwa akitembea kwa miguu na kuhangaika kutoka kimuziki ndiyo maana alikuwa anaonekana vile.

"Unajua mimi huwa sipendi sana watu wanapozungumzia suala hilo ila kwa kuwa sisi ni watu maarufu inafika mahali unaamua kupotezea tu, unajua watu wanashindwa kuelewa kuwa maisha yamebadilika na saizi sanaa ina lipa ndiyo maana Ray Kigosi amebadilika na kutakata, unajua zamani maisha hakuwa na uwezo sana na alikuwa anahangaika na kutoka na muda mwingi alikuwa akitembea kwa miguu ndio maana alikuwa akionekana vile" Alisema Chuchu Hans

Kwa upande wake Ray Kigosi alikiri kuwa sasa amebadilika na kuwa mweupe na kusema siri kubwa ni yeye kunywa maji sana, kufanya scrub ndiyo maana amekuwa hivyo ila hajichubui kama ambavyo watu wanasema.

4 comments:

  1. atuambie naskia anaingiliwa na abasi tarimba huyo ray
    Reply
    Replies
    1. itakuwa kweli ushoga bongo movie nay alisahau kuuimba
  2. haha nicheke mie wangapi tunakunywa maji na tuna magari lkn sio wachina?
    maji yanafanya ngozi kuwa nyororo na yenye afya wala hayabadilishi ngozi kuwa nyeupe huo ni mkorogo baba tena wa congo
    ray nawasiwasi anatumia vidonge vya weupe
    sasa mzee apa ni star bongo tena mijini sasa ukiwa star wa Hollywood si utakuwa kama michael jackson duh umetisha
    Reply

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016