Embu Tuweke Ushabiki Pembeni, Couple Gani Kati ya Hizi Unaipenda Kutoka Moyoni?


:

  1. Namba 4.coz ina baraka za Mungu.
    Hao wengine ni michepuko.
    Reply
  2. hii namba 3 mpaka namuonea wivu JUX! dah anakula mtoto mzuri sana!
    Reply
  3. Hiyo ya 6 ndo noma hawana skendo mbovu
    Reply
  4. Namba 5. Mafeki kupitiliza. Hawakutakiwa kuwepo hapo. Wajingaaaaa. Kila siku drama.
    Reply
  5. Yenye ndoa ndo naifagilia sana
    Reply


Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016