Mpenzi Mpya wa Nuh Mziwanda Huyu Hapa, Anaishi Oman Amekuja Tanzania Kuanza Rasmi Penzi na Nuhu


Msanii wa bongo fleva Nuh mziwanda ameamua kuweka uhusiano wake mpya hadharani.Kupitia akaunti yake ya instagram Nuh amekuwa akimpost mara kwa mara mrembo anayetumia jina la @_erah_erah_ kwenye mtandao huo

Kupitia mahojiano yake na radio moja Nuh alikiri kuwa huyo ndiye baby number one wake kwa sasa na anaishi Oman na amekuja Tanzania kwa muda tu.

“Ni mpenzi wangu ila aishi hapa amekuja kutembea kwa sababu tulianza ku date tangu yupo nje kwa hiyo amekuja sa hivi tumeanza mapenzi yetu rasmi..yeye anaishi Oman” alifunguka Nuh na kusema kwa sasa hataki kuzungumza mengi anaangalia upepo kwanza.



7 comments:

  1. mwarabu aliepotea huyo kakosa wanaume huko wa kumuoa basi ni malaya sana
    Reply
  2. Vijana tulieni hayo si maisha
    Reply
  3. Mbona katuni Jamani! Huyo sio binadamu halisi!
    Reply
  4. Atakwambia anataka real man wakatio yeye ni fake. mwili mzima kapiga Gypsum powder.
    Reply
  5. Kudadeki! Aisee Omani gani huyu! Uso kama yule kabinti kilotoka msukule, labda alikuwa msukule omani huyu saiv kafufuka dar , fyuuuuuuuuuuu
    Reply
  6. Hahahaha mdau umeniongezea siku za kuishi watu mna maneno eti

    AnonymousFebruary 18, 2016 at 2:53 PM

    Mbona katuni Jamani! Huyo sio binadamu halisi!
    Reply


Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu