Tetesi,Bow wow anatoka na Keyshia Cole na wanategemea kupata mtoto.
Rapa/Mtangazaji Bow Wow ameripotiwa kuwa na mahusiano na msanii wa rnb Keyshia Cole na kwamba wanategemea kupata mtoto.
Tetesi zinasema Bow Wow ameondoka kwenye nyumba ya Erica Mena na kuhamia kwa Keyshia Cole.
Kwa mujibu wa rafiki wa Keyshia Cole “Bow wow amekuwa karibu na Keyshia kwa muda sasa,hawako serious sana ila Keyshia anamimba na amesema anazaa”

Comments
Post a Comment