Kutokana na Rekodi za Youtube na Instagram..Diamond Anaweza Kuwa Ndio Msanii Mkubwa Zaidi Africa..
- Get link
- X
- Other Apps
Ile collabo kati ya diamond na A.k.a the super mega make me sing
imefikisha viewers millioni moja na ushe youtube ndani ya siku kumi toka
ilizinduliwa na kuweka rekodi mpya huku ikiziacha mbali nyingine
zilizoachiwa kabla yake
Rekodi nyingine hii ndo imekuwa nyimbo ya kwanza kwa a.k.a kufikisha
millioni moja viwers youtube ndani ya cku chache na kufanya kuchekwa na
mashabiki wa casper nyovest pale alipopost ndani ya I.g kuonyesha fura
Ingawa wabongo tunamuona huyu msanii ndo mkuubwa na kambeba Diamond...
hatujithamini ....
Diamond anaweza kuwa msanii mkubwa zaidi Africa kwa sasa
rekodi zake za you tube na instagram sioni mwanamuziki yeyote wa Africa akimkaribia
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment