Diamond platnumz na Qeen Darling Baba ni Baba tu, Baba Yenu Kawaomba Msamaha Msameheni Kabla Hamjachelewa.
- Get link
- X
- Other Apps
Nimeona interview ya Clouds TV na Mzee Platnumz, kweli jamaa kachoka. Huyu ni Baba yake na mwanamuziki matata nchini Diamond Platnumz.
Kama alikukosea wewe na mama yako, mbona ameshasema mumsamehe? Bila ya yeye Diamond asingekuwa alivyo sasa. Hivyo inatakiwa Diamond awe na moyo mkubwa wa kusamehe mtu ambaye ameshaomba kusamehewa. Binadamu tuna mapungufu na ni ujasiri ulioje kukubali kuwa umekosa na kuomba kusamehewa.
Diamond ni kioo cha jamii, uwe na moyo wa kusamehe. Pia kwa Queen Darlin, Baba yenu kawaomba msamaha wote.
Msaidieni Baba Yenu ana Hali Mbaya
You might also like:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
- Get link
- X
- Other Apps
katika wa baba wavivu na wahuni huyu yumo ni wale masharobaro wa zamani akipata pesa ananunua nguo na madem wamshobokee uswahilini starehe kibao atamaisha yake kashidwa kuyatengeneza
watoto wote kashindwa kuwahudumia huyu baba ziro kweli
ata ningekuwa mimi domo namfungia vioo tuu
kwanza bado ana nguvu zake afanye kazi aache shobo